discourse/plugins/poll/config/locales/server.sw.yml

46 lines
3.5 KiB
YAML
Raw Normal View History

2018-07-16 12:11:23 -04:00
# encoding: utf-8

# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.

# To work with us on translations, join this project:
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
sw:
site_settings:
poll_enabled: "Ruhusu Uchaguzi?"
poll_maximum_options: "Idadi ya juu ya machaguo yanayoruhusiwa katika uchaguzi."
poll_edit_window_mins: "Idadi ya dakika baada ya maandiko kuwekwa ambapo uchaguzi unaweza kuhaririwa."
poll_minimum_trust_level_to_create: "Chagua kiwango cha chini ya uaminifu mtumiaji anahitaji kutengeneza uchaguzi."
poll:
multiple_polls_without_name: "Kuna chaguzi kadhaa zenye majina sawa. Tumia dhana ya 'jina' ili kutambua chaguzi zako."
multiple_polls_with_same_name: "Kuna chaguzi kadhaa zenye majina sawa: %{name}. Tumia dhana ya 'jina' ilikutofautisha chaguzi zako."
default_poll_must_have_at_least_2_options: "Chaguzi lazima ziwe angalau na machaguo 2."
named_poll_must_have_at_least_2_options: "Chaguzi yenye jina %{name} lazima iwe na angalau machaguo 2."
default_poll_must_have_less_options:
one: "Chaguzi lazima uwe na chaguo chini ya 1."
other: "Uchaguzi lazima uwe na chaguo chini ya %{count}."
named_poll_must_have_less_options:
one: "Uchaguzi wenye jina %{name} lazima uwe na chaguo chini ya 1."
other: "Uchaguzi wenye jina %{name} lazima uwe na machaguo chini ya %{count}."
default_poll_must_have_different_options: "Uchaguzi lazima uwe na machaguo tofauti."
named_poll_must_have_different_options: "Uchaguzi wenye jina %{name} lazima uwe na machaguo tofauti."
default_poll_with_multiple_choices_has_invalid_parameters: "Uchaguzi wenye machaguo mengi una vigezo ambavyo si sahihi."
named_poll_with_multiple_choices_has_invalid_parameters: "Uchaguzi wenye jina %{name}, ambao una machaguo mengi, una vigezo ambavyo si sahihi."
requires_at_least_1_valid_option: "Lazima uchague angalau chaguo 1 sahihi."
default_cannot_be_made_public: "Uchaguzi wenye kura hauwezi kugeuzwa ili usiwe wa siri."
2018-08-07 12:05:45 -04:00
named_cannot_be_made_public: "Uchaguzi ulioitwa %{name} una kura na hauwezi kufanyika kwa umma."
2018-07-16 12:11:23 -04:00
edit_window_expired:
op_cannot_edit_options: "Huwezi ukaongeza au kupunguza machaguo ya uchaguzi baada ya dakika %{minutes} za kwanza. Tafadhali wasiliana na msimamizi wa jukwaa kama utahitaji kuhariri chaguo la uchaguzi."
staff_cannot_add_or_remove_options: "Huwezi kuongeza au kupunguza machaguo ya uchaguzi baada ya dakika %{minutes}za mwanzo. Unapaswa kufunga mada hii na kuanzisha mada mpya badala yake."
no_polls_associated_with_this_post: "Hakuna chaguzi zinazohusiana na bandiko hili."
no_poll_with_this_name: "Hakuna uchaguzi wenye jina %{name} unaohusiana na bandiko hili."
post_is_deleted: "Huwezi kufanyia kazi bandiko lililofutwa."
user_cant_post_in_topic: "Huwezi kupiga kura kwa sababu hauwezi kuchangia kwenye hii mada."
topic_must_be_open_to_vote: "Mada inatakiwa iwe wazi, ili kupiga kura."
poll_must_be_open_to_vote: "Uchaguzi lazima uwe wazi ili kupiga kura."
topic_must_be_open_to_toggle_status: "Mada inatakiwa iwe wazi ili kubadilisha hali."
only_staff_or_op_can_toggle_status: "Ni msaidizi au mwandishi wa bandiko tu, ndo wanaoweza kubadilisha hali ya uchaguzi."
insufficient_rights_to_create: "Hauruhusiwi kutengeneza uchaguzi."
email:
link_to_poll: "Bofya ili kuangalia uchaguzi."